VETA TANZANIA

VETA TANZANIA

JIUNGE NA CHUO CHA UHAKIKA ILI KUJIAJIRI AU KUAJIRIWA


Saturday, September 9, 2017

CHUO KIPO KANISA LA MORAVIAN SINGIDA MJINI.


CHUO HIKI KILIANZISHWA MWAKA 2013 KWA NAMBA: VET/SGD/PR/2013/D/027

CHUO HIKI KINAENDESHA MAFUNZO YAKE CHINI YA MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA).
  
CHUO KIMESAJILIWA NA VETA KWA NAMBA:

CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO KWA MWAKA 2018/2019

>>FOMU ZIMEANZA KUTOLEWA HAPA CHUONI

CHUO KIMERUHUSIWA KUENDESHA /KUFUNDISHA FANI ZIFUATAZO:-

KOZI NDEFU.......HADI CHETI CHA VETA

  1. INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT)
  2. TAILORING COURSE (USHONAJI).

KOZI FUPI
  1. COMPUTER MAINTANANCE AND REPAIR
  2. COMPUTER PROGRAMS
  3. CREATING APPS
  4. CREATING BLOGS
  5. CHANGING TEMPLATE TO BLOGS
  6. ENGLISH COURSE
  7. PRE-FORM ONE

PIA CHUO KINATANGAZA KOZI FUPI KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE WANAOSUBILIA MATOKEO KAMA IFUATAVYO:-

       KOZI FUPI .........MIEZI 3
  1. INTRODUCTION TO COMPUTER
  2. MICROSOFT WINDOWS
  3. MICROSOFT WORD
  4. MICROSOFT EXCEL
  5. MICROSOFT DATABASE
  6. .MICROSOFT POWER POINT
  7. MICROSOFT PUBLISHAR
  8. INTERNET AND E-MAIL

SIFA ZA CHUO CHA LAURENT VTC SINGIDA
  1. CHUO PEKEE KINACHOAMINIKA KWA MAFUNZO YA UFUNDI STADI HAPA SINGIDA MJINI
  2. CHUO CHENYE VIFAA VYA KUTOSHA NA MAZINGIRA SAFI KWA KUJIFUNZI NA KUFUNDISHIA
  3. CHUO KINAONGOZA KWA MATOKEO YA MITIHANI YA VETA.
  4. CHUO KINA WATAFUTIA WAHITIMU AJIRA WANAPOHITIMU.
  5. CHUO HUWAPELEKA WANACHUO MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD).
  6. CHUO HUWAPELEKA WANACHUO ZIARA NDANI NA NJE YA CHUO KWA KUJIFUNZA ZAIDI.

>>>WAHUSIKA NI: DARASA LA SABA, WAHITIMU KIDATO CHA NNE, WAFANYAKAZI NA WENGINEO

>>>USISAHAU KUPAKUA/KUDOWNLOAD APP YA CHUO KATIKA PLAY STORE "LAURENT VTC SINGIDA) KISHA INSTALL KUPATA MENGI.

>>KWA KUPATA FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO FIKA CHUONI AU PIGA SIMU :0763652896, 0782859946, 0714890889

WANACHUO WA MWAKA WA PILI

WANACHUO WAKIWA CHUMBA CHA KOMPYUTA.




Friday, September 8, 2017







CHUO KIMESAJILIWA NA VETA KWA NAMBA: REG:VET/SGD/PR/2013/D/027


CHUO KIPO KANISA LA MORAVIAN SINGIDA MJINI


CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO 

KWA MWAKA 2018/2019 KATIKA FANI ZIFUATAZO:-


KOZI NDEFU : HADI KUPATA CHETI

1: INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT) -----NGAZI YA CHETI
2:TAILORING COURSE (USHONAJI).......NGAZI YA CHETI
3: COMPUTER MAINTANANCE AND REPAIR ........NGAZI YA CHETI

KOZI FUPI

1: COMPUTER PROGRAMS.......MIEZI  3
2:COMPUTER MAINTANANCE AND REPAIR......MIEZI 3
4: MAFUNZO YA KOMPYUTA ..........MIEZI 2, 1
5:PRE-FORM ONE........................MIEZI 3
6:BLOG DESIGN AND APP DESIGNING
7: ENGLISH COURSE


PIA CHUO KINATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-
  • KUREPAIR COMPUTER ZILIZOHARIBIKA.
  • KUREPAIR PRINTER, PHOTOCOPY ETC
  • PRINTING KADI ZA HARUSI, NA PATI MBALIMBALI


WAHI NAFASI NI CHACHE
 >>>FOMU ZINAPATIKANA CHUONI KANISA LA MORAVIAN SINGIDA MJINI.

WAHUSIKA NI : DRS LA SABA, WAHITIMU KIDATO CHA NNE, NA WENGINEO.

KWA MAELEZO ZAIDI NA KUPATA FOMU FIKA CHUONI AU PIGA 0763652896, 0782859946, 0714890889

>>>FOMU ZINAPATIKA CHUONI KWA TSHS, 5,000/=

>>>INTERVIEW/USAJILI WA KUJIUNGA NA CHUO UTAFANYIKA 25/10/2017, CHUKUA FOMU MAPEMA ILI KUFANYA INTERVIEW/USAHILI.


====>KUPATA TAARIFA ZAIDI USISAHAU INGIA PLAY STORE PAKUA APP YETU "LAURENT VTC SINGIDA" INSTALL KUPATA TAARIFA NYINGI ZAIDI.

NYOTE MNAKARIBISHWA.