CHUO KIPO KANISA LA MORAVIAN SINGIDA MJINI.
CHUO HIKI KILIANZISHWA MWAKA 2013 KWA NAMBA: VET/SGD/PR/2013/D/027
CHUO HIKI KINAENDESHA MAFUNZO YAKE CHINI YA MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA).
CHUO KIMESAJILIWA NA VETA KWA NAMBA:
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO KWA MWAKA 2018/2019
>>FOMU ZIMEANZA KUTOLEWA HAPA CHUONI
CHUO KIMERUHUSIWA KUENDESHA /KUFUNDISHA FANI ZIFUATAZO:-
KOZI NDEFU.......HADI CHETI CHA VETA
- INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT)
- TAILORING COURSE (USHONAJI).
KOZI FUPI
- COMPUTER MAINTANANCE AND REPAIR
- COMPUTER PROGRAMS
- CREATING APPS
- CREATING BLOGS
- CHANGING TEMPLATE TO BLOGS
- ENGLISH COURSE
- PRE-FORM ONE
PIA CHUO KINATANGAZA KOZI FUPI KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE WANAOSUBILIA MATOKEO KAMA IFUATAVYO:-
KOZI FUPI .........MIEZI 3
- INTRODUCTION TO COMPUTER
- MICROSOFT WINDOWS
- MICROSOFT WORD
- MICROSOFT EXCEL
- MICROSOFT DATABASE
- .MICROSOFT POWER POINT
- MICROSOFT PUBLISHAR
- INTERNET AND E-MAIL
SIFA ZA CHUO CHA LAURENT VTC SINGIDA
- CHUO PEKEE KINACHOAMINIKA KWA MAFUNZO YA UFUNDI STADI HAPA SINGIDA MJINI
- CHUO CHENYE VIFAA VYA KUTOSHA NA MAZINGIRA SAFI KWA KUJIFUNZI NA KUFUNDISHIA
- CHUO KINAONGOZA KWA MATOKEO YA MITIHANI YA VETA.
- CHUO KINA WATAFUTIA WAHITIMU AJIRA WANAPOHITIMU.
- CHUO HUWAPELEKA WANACHUO MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD).
- CHUO HUWAPELEKA WANACHUO ZIARA NDANI NA NJE YA CHUO KWA KUJIFUNZA ZAIDI.
>>>WAHUSIKA NI: DARASA LA SABA, WAHITIMU KIDATO CHA NNE, WAFANYAKAZI NA WENGINEO
>>>USISAHAU KUPAKUA/KUDOWNLOAD APP YA CHUO KATIKA PLAY STORE "LAURENT VTC SINGIDA) KISHA INSTALL KUPATA MENGI.
>>KWA KUPATA FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO FIKA CHUONI AU PIGA SIMU :0763652896, 0782859946, 0714890889
WANACHUO WA MWAKA WA PILI
WANACHUO WAKIWA CHUMBA CHA KOMPYUTA.
No comments:
Post a Comment