CHUO KIMESAJILIWA NA VETA KWA NAMBA:
REG:VET/SGD/PR/2013/D/027
CHUO KIPO KANISA LA MORAVIAN SINGIDA MJINI
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA
NA MASOMO
KWA MWAKA 2018/2019 KATIKA FANI ZIFUATAZO:-
KOZI NDEFU : HADI KUPATA CHETI
1: INFORMATION AND COMMUNICATION
TECHNOLOGY (ICT) -----NGAZI YA CHETI
2:TAILORING COURSE
(USHONAJI).......NGAZI YA CHETI
3: COMPUTER MAINTANANCE AND REPAIR
........NGAZI YA CHETI
KOZI FUPI
1: COMPUTER PROGRAMS.......MIEZI 3
2:COMPUTER MAINTANANCE AND
REPAIR......MIEZI 3
4: MAFUNZO YA KOMPYUTA
..........MIEZI 2, 1
5:PRE-FORM
ONE........................MIEZI 3
6:BLOG DESIGN AND APP DESIGNING
7: ENGLISH COURSE
PIA CHUO KINATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-
- KUREPAIR COMPUTER ZILIZOHARIBIKA.
- KUREPAIR PRINTER, PHOTOCOPY ETC
- PRINTING KADI ZA HARUSI, NA PATI MBALIMBALI
WAHI NAFASI NI CHACHE
>>>FOMU ZINAPATIKANA CHUONI KANISA LA
MORAVIAN SINGIDA MJINI.
WAHUSIKA NI : DRS LA SABA, WAHITIMU
KIDATO CHA NNE, NA WENGINEO.
KWA MAELEZO ZAIDI NA KUPATA FOMU FIKA
CHUONI AU PIGA 0763652896, 0782859946, 0714890889
>>>FOMU ZINAPATIKA CHUONI KWA TSHS, 5,000/=
>>>INTERVIEW/USAJILI WA KUJIUNGA NA CHUO UTAFANYIKA 25/10/2017, CHUKUA FOMU MAPEMA ILI KUFANYA INTERVIEW/USAHILI.
>>>FOMU ZINAPATIKA CHUONI KWA TSHS, 5,000/=
>>>INTERVIEW/USAJILI WA KUJIUNGA NA CHUO UTAFANYIKA 25/10/2017, CHUKUA FOMU MAPEMA ILI KUFANYA INTERVIEW/USAHILI.
====>KUPATA TAARIFA ZAIDI USISAHAU INGIA PLAY
STORE PAKUA APP YETU "LAURENT VTC SINGIDA" INSTALL KUPATA TAARIFA
NYINGI ZAIDI.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
No comments:
Post a Comment